Bwana Ameitika
- Baraka Thomas Mashibe
- Oct 12, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Neema amenipa Baraka anashusha maombi na sala zangu zimemfikia na leo
Ameitika Mungu amenijibu maombi ameisikia sauti nilipomuita Bwana x2 ameitika
Mungu nilimuita usiku na mchana, kwa imani niliamini atajibu na leo
Nilimpelekea malalamiko yangu masononeko yangu yamemfikia na leo
Watu walinisema kwa maneno mabaya, nikamuomba Mungu awasamehe na leo
HITIMISHO
Sitaacha kumuita Bwana amesikia sauti sitachoka kumuomba Mungu ameyajibu maombi x2

Comments