Bwana Asema
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
1. Bwana asema nimtume nani, nani nani atakaye kwenda badala yangu x2
Nitume mimi Bwana x4
2. Midomo yangu michafu sana, uiochome kwa kaa la moto uitakase
3. Aliniambia usiogope, utapata utajiri mwingi kutoka kwangu

Comments