top of page

Bwana Kama wewe Ungehesabu Maovu Yetu

Updated: Feb 27, 2024


Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu naniangesimama, nani angesimama nani angesimama mbele yako) x2


  1. Lakini kwako kuna msamaha, ili wewe uogopwe, nimemungoja Bwana, Roho yangu, na neno lake nimelitumaini.

  2. Nafsi yangu inamngoja Bwana, kuliko walinzi walinzi waingojavyo asubuhi naam walinzi wangojavyo asubuhi.

  3. Ee Bwana toka vilindini, nimekulilia, Bwana sauti yangu usikie masikio yako yasikie dua zangu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page