Bwana Kazi Zako
- Hymsco Library

- Nov 3, 2023
- 1 min read
Ee Bwana kazi zako zitakushukuru (wewe) na wacha Mungu wako watakuhimidi x2
Watasema aleluya wataimba nyimbo nzuri, watacheza kwa furaha mbele zako Bwana. Kwa uzuri wako wewe na fadhili zako wewe watatoa shukrani mbele zakoo ee Bwana
Ee Bwana kwa uwema umejitolea (wewe) ukatupa chakula chako cha mbinguni x2
Ee Bwana Mungu wangu nitakushukuru (wewe) nitatoa dhabihu ya kukushukuru x2
Ee Bwana kweli mimi ni mtumishi wako (wewe) mtumishi na mwana mjakazi wako x2

Comments