top of page

Bwana Mfalme


Bwana Mfalme ameketi milele (Bwana) atawabariki watu kwa Amani x2

  1. Atawala duniani na mbinguni, toka mto hata kingo za dunia.

  2. Na wafalme wote watamwabudia, mataifa yote yatamtumikia.

  3. Utawala utawala wa milele, ni ufalme wenye kudumu milele.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page