top of page

Bwana Mimi Nikupe Nini?

Ee Bwana wangu na mimi nikupe nini, nina zawadi kidogo ee Bwana wangu, pokea zawadi x 2.

  1. Ee Bwana wangu na mimi nikupe nini, nina zawadi kidogo ee Bwana wangu, pokee zawadi x 2.

  2. ……nakutolea mazao ya mashambani….

  3. …..nakutolea na fedha za mifukoni….

  4. …..maisha mwenyewe na nafsi yangu…..

  5. ….. maisha yangu nakupa uyapokee….

  6. Haya ni maombi, yetu Baba mwenyezi tuna imani (utusikilize) – (Baba nisamehe).

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page