top of page

Bwana Naileta Yangu

Bwana naileta, naileta sadaka kwako (ninaleta) ninaleta sadaka yangu niliyo andaa x2 sio kwamba naileta ili wanitazame wenzangu (si hivyo) bali naileta kwako kusudi nikupendezeshe Bwana x2

  1. Bwana pokea sadaka yetu, tunaleta kwako, Ee Bwana uipokee

  2. Mkate Divai Mazao ya shamba, twayaleta kwako, Ee Bwana uyapokee

  3. Hebu tazama, fedha yangu ndogo, naileta kwako, Ee Bwana uipokee

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page