top of page

Bwana Tusaidie

Bwana ni kinga na ngome yangu Bwana ni mwamba na ngao yangu. (Katika shida nisadie katika tabu uniokoe ni wewe uliye mlinzi wangu x2

  1. Katika hofu unitulize, Ee Bwana wangu ee Mungu. Shetani mwovu asinishinde, nilinde Bwana nisipotee.

  2. Pasipo wewe niko dhaifu, pasipo wewe sifai kitu. Nilinde Bwana nikinge Bwana, nisianguke katika dhambi.

  3. Unipe nguvu ee Mungu wangu, unipe nguvu niwe imara. Unijalie Rehema zako, unijalie fadhili zako.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page