top of page

Bwana Twakushuru

1. Bwana twakushuru kwa mapaji,Kwa mapaji yako yote x2

Mwili tumekula , damu tumekunywa, sasa twakushuru asante ee Bwana x2

2. Bwana u mwema sana ee Bwana twakushuru x2

3. Bwana ni mkarimu, ametupa vitu vyote x2

4. Bwana ukae uzilinde, roho zetu x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page