Bwana Una Neema Nyingi
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
1. Bwana una neema nyingi waondoa kila dhambi x 2
Ndiwe chechem, ya uzima niyateke kwako Bwana niongoze bandarini niwe wako milele
2. Nikiwa patakatifu namsifu Mungu x 2
3. Bwana Mungu niongoze nidumu katika neema x 2

Comments