Bwana Yesu Atuita
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Bwana Yesu kweli atuita tukampokee x2 Mwili wake na damu yake vyatushibisha roho zetu x2
Bwana Yesu alisema hivi aulaye mwili wangu hataona njaa kamwe.
Bwana Yesu alisema hivi anywae damu yangu hataona kiu kamwe.
Bwana Yesu atupenda sana akajitoa msalabani, katuregesha kwa Bwana.
Nasi twende tukampokee tupate nguvu na neema na uzima wa milele.

Comments