top of page

Bwana Yesu ni Chakula

Bwana Yesu kweli wewe ni chakula cha roho x 2 Kweli wewe ni chakula

Kweli wewe ni kinywaji Njoo Kwetu moyoni, moyoni mwetu njoo utushibishe

  1. Tujongee meza ya Bwana tule mwili wake Bwana, na damu yake tuinywe.

  2. Bwana anatualika tule mwili wake Bwana tule tupate uzima.

  3. Bwana atualika kunywa damu yake Bwana tunywe tupate uzima.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page