Bwana Yesu Waniita
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Niwewako, Bwana Yesu (Bwana Yesu) niwewako Bwana Yesu siku zote x 2
1. Bwana Yesu / waniita / niwewako niwewako Bwana Yesu siku zote
2. Nalifurahi / kusikia wanita, niwewako Bwana Yesu siku zote
3. Ndiyo Bwana / naitika / wito wako, niwewako Bwana Yesu siku zote
4. Nimekuja / wala nyuma / sigeuki, niwewako Bwana Yesu siku zote.

Comments