top of page

Bwana Yesu Waniita

Bwana Yesu waniita niwe wako, niwe wako Bwana Yesu siku zote. Niwe wako, Bwana Yesu (Bwana) (siku zote) niwe wako Bwana Yesu siku zote x2


Ndio Bwana, naitika wito wako.

Niwe wako Bwana Yesu siku zote.


Ni furaha, kusikia waniita,

niwe wako Bwana Yesu siku zote.


Nimekuja, kusikia waniita,

niwe wako Bwana Yesu siku zote.


Nena Bwana, mtumishi asikia,

niwe wako Bwana Yesu siku zote.


Niwe wako, leo kesho na daima,

niwe wako Bwana Yesu siku zote

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page