top of page

Chakula cha Bwana Sasa Kiko Tayari


  1. Chakula cha Bwana, sasa kiko tayari ndugu Karibuni karibuni twende kumpokea Nacho kimeshuka kimetoka Mbinguni ndugu Karibuni karibuni twende kumpokea Bwana Yesu anatuita twende Tukale mwili wake Tukanywe damu yake Sote twende tukampokee

  2. Tumekaribishwa kumpokea Mwana kondoo Karibuni karibuni twende kumpokea Anayeondoa dhambi zote za ulimwengu Karibuni karibuni twende kumpokea

  3. Bwana ndiye njia, ya Mbinguni tukampokee Karibuni karibuni twende kumpokea Atuita kwake kula mwili na damu yake Karibuni karibuni twende kumpokea

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page