Chakula ni Tayari
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Nitamuona Bwana Bwana wangu na upendo wake Bwana Yesu nami unanifaa x 2
Chakula ni tayari, cha Bwana wangu Yesu x 2
Yesu alisema mwili wangu mle x 2
Yesua isema na damu yangu mnywe x 2
Aniaminiye milele ataishi x 2

Comments