top of page

Ee Baba Pokea

Ee Baba pokea zawadi tunaleta x 2. pokea Baba hizo zawadi tunaleta x 2. Pokea Baba hizo zawadi, tunaleta kwa Baba Muumba wetu x 2.

1. Twakutolea mkate huo, twakutolea divai hii ni kazi ya wanadamu.

2. …….na fedha zetu……. na nyoyo zetu………

3. …… mazao yetu…… …na mali yetu…….

4. …… maisha yetu……… na nafsi zetu……

5. …….furaha yetu……. …uchungu wetu………

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page