Ee Bwana
- P.F Mwarabu
- Nov 29, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 19, 2023
Ee Bwana twakuomba upokee vipaji vyetu x2, hivyo vyote ni mali yako tumepata kwa wema wako pokea x2
Mkate divai twakutolea- Twakuomba Baba upokee
Mazao ya mashamba twakutolea- Twakuomba Baba uyabariki
Pokea nazo nyoyo zetu- Pokea Baba twakuomba
Na fedha za mifuko twakutolea- Twakuomba Baba tubariki
Na kazi za mikono twakutolea- Twakuomba Baba zikupendeze
Furaha na uchungu twakutolea- Twakuomba Baba upokee.

Comments