Ee Bwana Twakuomba
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Ee Bwana, twakuomba, pokea sadaka.
Ya divai na ya mkate, nyoyo zetu upokee
Ya matendo na mawazo, nia zetu upokee
Ya Abeli iwe mafano, sadaka hii ipendeze
Mikononi mwake Padre, nisadaka yetu sote
Zigeuze mwili, damu ya Mwanao altareni.

Comments