Ee Bwana Twakuomba Upokee
- P.F Mwarabu
- Oct 22, 2023
- 1 min read
Updated: Nov 18, 2023
Ee Bwana, twakuomba upokee vipaji vyetu x2
Hivyo vyote ni mali yako Tumepata kwa wema wako pokee x2
Mkate na divai twakutolea, twakuomba Baba upokee
Mawazo pia matendo yetu- twakuomba Baba upokee
Twakutolea nanyoyo zetu- twakuomba Baba upokee
Mazao ya mashamba twakutolea- twakuomba Baba upokee
Na fedha za mifuko twakutolea- twakuomba Baba upokee

Comments