Ee Bwana Vyote Mali Yako
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Ee Bwana vyote mali yako, Bwana twakupa vyote mali yako x2
1. Pokea mkate na divai Bwana, twakupa vyote mali yako
2. Mazao ya mashamba yetu twakupa vyote mali yako
3. Pokea nazo nia zetu twakupa vyote mali yako
4. Pokea nazo nyoyo zetu twakupa vyote mali yako
5. Na fedha za mifuko yetu twakupa vyote mali yako
6. Na kazi za mikono yetu twakupa vyote mali yako
7. Furaha na uchungu wetu Bwana twakupa vyote mali yako
1 Comment
Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Nyimbo tamu sana... imenikumbusha utotoni