Ee Mama Kimbilio Letu
- Hymsco Library

- Nov 1, 2023
- 1 min read
Ee Mama kimbilio letu x2
Mama kimbilio la wakosefu Mama msaada wa wenye shida, ee Mama kimbilio letu x2.
Ee Mama wa Mkombozi wetu x2
Ee Mama wa shauri njema x2
Ee Mama mfariji wetu x2
Ee Mama Mtakatifu sana x2

Comments