top of page

Ekaristi Takatifu

Ekaristi takatifu ni chakula chetu wanadamu, Ekaristi takatifu ni kinywaji chetu wanadamu, aulaye mwili wa Yesu na kuinywa damu yake ataishi milele x2

  1. Mwili wake Yesu Kristu, ni chakula cha kweli, na damu yake ni kinywaji cha kweli.

  2. Twendeni kwenye karamu Yesu anatuita, anatukaribisha kwa mapendo ya kweli.

  3. Yesu alishuka kwetu kutoka kwake mbinguni, alijitoa mwili ili atuokoe.ri ya mbingu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page