top of page

Ekaristia ni Chakula

Updated: Dec 25, 2023


(Ekaristia ni chakula, chakula cha uzima wa milele Ee mkate wa Mbinguni, shibisha roho zetu) x2

  1. Yesu Mwokozi kashuka chini kwetu, tukampokee

  2. Maumbo haya ni mwili wake Yesu, twakiri sote

  3. Yesu mpenzi pokea moyo wangu, na mimi wako

  4. Ninakupenda kuliko nafsi yangu, Mwokozi wangu

  5. Nakuabudu ee Mungu wangu mwenye, heri ya mbingu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page