top of page

Enendeni Ulimwenguni Kote

Enendeni ulimwenguni kote, mkawafanye mataifa yote (alleluia) wawe wanafunzi wangu (alleluia) (Mkiwabatiza kwa jina la Baba, Na pia, la Mwana naye Roho Mtakatifu) x2

  1. Nendeni kwa mataifa muhubiri kwao jina langu mimi

  2. Kwa watu wote muhubiri neno langu ili wote waokoke

  3. Muwafanye wanafunzi wangu mimi siku zote alleluia

  4. Nendeni ulimwenguni bila hofu mtangaze neno langu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page