top of page

Enendeni Ulimwenguni Kote

Enyi mataifa yote, msifuni Bwana enyi wote mhimidini


Enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili


Maana fadhili zake kwetu, sisi ni kuu Uaminifu wa Bwana wa milele


Atukuzwe Baba, Mwana na Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page