top of page

Enyi Watu Wote

Enyi watu wote pigeni makofi, pigeni makofi, mshangilie Mshangilieni Mungu kwa sauti ya shangwe x2

  1. Bwana ndiye nguvu kwa watu wake, ndiye kinga ya wokovu kwa Kristu wake.

  2. Ee Bwana uwaokowe watu wako, uubariki uridhi wake, uwachunge hata milele.

  3. Ee Bwana nitakuita wewe mwamba wangu, usiwe kwangu kama kiziwi.

  4. Ee Mungu twakumbuka huruma yako, katika hekalu lako.

  5. Hivyo hata sifa yako yaenda mpaka kingo za dunia, mkono wa kuume umejaa haki.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page