Ewe Mama Maria
- P.F Mwarabu
- Oct 14, 2023
- 1 min read
Ewe mama Maria, mama yetu mwema, Mama wa Mungu Sisi wanao leo, tunakusalimu, salamu Mama
1. Ee mama yetu mwema, mama yetu Maria, Sisi tunakupenda tunakupenda sana
2. Ee mama yetu mpenzi, sikia ombi letu, Katika shida zetu, kwa mwanao tuombee
3. Ee Mama mbarikiwa, mama msafi wa moyo Mama mwenye huruma, uwe nasi daima
4. Na mwisho mama wa ugeni huu, Tusaidie Mama, tufike juu Mbinguni

Comments