top of page

Ewe Mama Maria


Ewe Mama Maria, Mama yetu mwema Mama wa Mungu, sisi wanao leo tunakusalimu, “Salamu Mama”.

  1. Mama wa Yesu Kristu, Mama yetu Maria, ututazame sisi tunao kuheshimu

  2. Ee Mama yetu mpenzi, sikia ombi letu, katika shida zetu, kwa Mwanao tuombee

  3. Ee Mama mbarikiwa, Mama safi wa moyo, Mama mwenye huruma, uwe nasi daima

  4. Mama wa neema nyingi, Mama yetu Maria, tusaidie daima, tufike juu mbinguni

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page