top of page

Gharama ya Wokovu

Updated: Dec 25, 2023


  1. Kumbukeni upendo wake Mungu wetu waku mtoa mwana wake wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele, -

  2. Damu iliyomwagika msalabani ndiyo gharama ya wokovu wetu mzigo wa dhambi alituondolea madeni yetu aliyalipa yote, 3.Taji la miiba walimvisha kwa nguvu wakampiga mijeledi bila huruma, yote aliyavumilia Bwana wetu ili tupate uzima wa milele,

MWISHO

Kama haingekuwa ni

  1. Neema zako,

  2. Huruma yako,

  3. Upendo wako

Hatungefika hapa siku ya leo twakushukuru Baba twasema asante, asante Baba asante ‘sante kwakutuokoa kutoka dhambini twakushukuru Baba twasema ‘sante x3 asante asante asante sana, Baba asante (asante) kwa upendo wako (asante) na fadhili zako (asante) mimi nashukuru, uligharamika (asante) ili niupate (asante) wokovu huu (asante) mimi nashukuru, ulifadhaika (ee Bwana) na kusononeka (ee Bwana) kwa ajili yangu (ee Bwana) Bwana mimi nashukuru ,gharama ya wokovu (ee Bwana) ni kubwa mno (ee Bwana) tena haielezeki (ee Bwana) mimi nashukuru, Baba { asante kwa pendo kwa pendo pendo twasema asante asante Baba} x4.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page