top of page

Hapo Kale nchi Filipi

1. Hapo kale nchi Filipi Yesu kauliza wanafunzi wake, watu hunena mimi ni nani apate kujua yao yote x2


(Wengi),wengine hunena u-Yohana, (wengi) wengine hunena u-Eliya (wengi) wengine hunena Yeremia mmoja wa manabii x2


2. Mwaniona mimi ni nani? Simoni Petero kamweleza, wewe ni mchungaji Mwana wa Mungu uliyetabiriwa mbinguni x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page