Harufu Nzuri
- Elias Majaliwa
- Oct 21, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 25, 2023
(Sala yangu na ipae mbele yako Bwana kama moshi wa ubani moshi wa ubani) x2 Na kuinuliwa mbele ya uso wako (Bwana) uso wako uso wako mtakatifu (ikupendeze Ee Mungu) X4
Ee Mungu tunakuomba uipokee sadaka yetu ya leo kwa moyo wa huruma ee Mungu kwa moyo wa huruma
Harufu nzuri ya ubani izisindikize sala zetu za leo nayo maombi yetu ee Mungu nayo maombi yetu

Comments