Haya Tena
- Benard Mukasa
- Oct 19, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
(Haya haya haya tena haya tumerudi tena kukuimbia kukusifu kwa nyimbo tena watu kuwainua tena wakutukuze wewe) x2
Teremka uzisikilize nyimbo tulizokutungia Karama ulizotujalia
Njoo Bwana uzisikie sauti tamu ulizoumbaWanao tunakurudishia
Tega sikio usikie midundo tunayokupigia, Yote hii wewe utukuzwe
Tupa jicho ujionee miondoko tunayokanyaga Mifupa uliyotujengea

Comments