top of page

Heri Yenu

Heri yenu (heri) heri yenu (heri) mlioalikwa kwa karamu ya Bwana.

  1. Karamu ya Bwana yatupa uzima ni mwili wa Bwana na damu yake

  2. Yeye ni chakula na damu yake, yeye ni kinywaji cha roho.

  3. Aniaminiye hukaa kwangu, ataishi nami pamoja na Baba.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page