Hii Ndiyo Siku
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
SOP: Hii ndiyo siku
ALL: Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana
Njooni— Twimbe kwa furaha
Njooni—Tumsifu Bwana x2
1. Bwana, ametamalaki nchi (Naifanye shangwe) x2
2. Bwana, amevaa enzii nchi (Naifanye shangwe) x2
3. Bwana, ndiye mfalme wetu nasi (tumshangilie) x2
4. Bwana,twaomba Baraka leo, umtume Roho, awe nasi sote

Comments