Hii Ndiyo Siku
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
(Hii ndiyo siku x2 aliyoifanya Bwana) x2
(Tuimbe kwa furaha tumsifu Bwana) x4
1. Bwana ametamalaki / nchi na ifanya shangwe
2. Bwana amevaa enzi / amesimama imara.
3. Dunia ishangilie / visiwa na vifurahi
4. Mawingu yanamzunguka / haki ndiyo kiti chake.
4. Moto unamtangulia / adui kuteketeza.
5. Atukuzwe Bwana Mungu / Muumba wa vitu vyote.

Comments