top of page

Hiki Ndicho Chakula

Hiki ndicho chakula (twendeni) kishukacho kutoka mbinguni x 2

Si kama mababu walivyokula jangwani manna wakafa (basi akilaye chakula hichi ataishi milele) x 2

1. Twendeni kwa karamu ya Bwana Yesu, maana kila mulapo mkate huu, na kukinywea kikombe hiki mwaitangaza mauti ya Bwana mpaka atakapokuja.

2. Amini amini nawaambieni msipokula mwili wake mwana wa Adamu, msipokunywa damu yake mwana Adamu hamtakuwa nao uzima ndani ya mioyo yenu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page