Ile Uliyoiandaa
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Ile ulioyoiandaa sadaka yako, Fedha nayo mifugo yako ukampe Bwana x2
1. Inuka ndugu nenda mbele, ukatoe sadaka yako- Ile ulioyoiandaa ukampe Bwana
2. Fedha nazo za mifukoni, inuka nenda ukatoe Ile ulioyoiandaa ukampe Bwana
3. Imani tu bila matendo, haifai kitu kwa Bwana-Ile ulioyoiandaa ukampe Bwana

Comments