top of page

Inakuwaje Tunasikia Maneno



  1. Inakuwaje tunasikia maneno, wanayosema, kwa lugha yetu wenyewe Tunasikia mambo hayo ya Mungu, wanayosema, kwa lugha yetu wenyewe (Wao ni wa Galilaya, na si ni wa makabila, Ya kutoka nchi mbalimbali (duniani) Ina maana gani, linashangaza jambo hilox 2

  2. Siku ile ya Pentekoste ilipofika, mitume nao waamini Walikusanyika pamoja katika nyumba, walimokuwa wamekaa

  3. Mara uvumi wa upepo ukasikika, ndimi za moto zikawashukia, Wakawa wamejazwa na Roho Mtakatifu, wakisema lugha nyingi

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page