top of page

Ishara Kubwa

Updated: Dec 25, 2023


Ishara kubwa imeonekana mbinguni) x2 Ambapo mwanamke aliyevikwa jua pia na mwezi chini ya miguu yake, na taji la nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake.

  1. Tufurahie sote katika Bwana tunapoadhimisha sikukuu, kwa heshima ya Bikira Maria.

  2. Jeshi la Malaika washangilia, pia wafurahia kupalizwa, mbinguni kwake Bikira Maria.

  3. Bwana amefunua wokovu wake, kati ya mataifa, ameidhirisha haki yake juu yao.

  4. Atukuzwe Baba pia na Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo sasa na siku zote na milele.


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page