Itika Bwana
- Baraka Thomas Mashibe
- Oct 14, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Bwana ninakuita najua unanisikia sala zangu na dua zangu zangu naamini zimekufikia Bwana
Usiku na mchana nalia unanisikia, masononeko na malamamiko yangu unayasikia…
Watu wananisema kwa maneno yao mabaya, wananizushia maneno ya uongo niabike…
Najua siku moja Bwana wangu utaitika, utajibu maombi yangu na sala ninazoleta leo…

Comments