top of page

Jina Maria


Jina Maria ni jina tukufu lafurahisha Linatutuliza Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba (Wakisema. All: Ave, Ave Maria Ni jina tukufu, All: Jina la Maria) x2

  1. Maria Mama wa Mungu tuombee, (tuombee kwa Mwanao Yesu) x2

  2. Jina lako siku zote lapendeza, (wewe uliye mnara wa Daudi) x2

  3. Jina lako siku zote lapendeza (wewe uliye malkia wa mbinguni) x2

  4. Twaliimba jina lako siku zote ( jina Maria linatufurahisha) x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page