top of page

Jipeni Moyo

Updated: Dec 23, 2023



Waambieni watu walio na moyo wa hofu x2 (Jipeni moyo, msiogope (ogope) [kwa maana] tazama Mungu wenu nakuja kuwaokoa nyinyi) x2


  1. Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu (Na fanyeni imara magoti yaliyolegea) x2

  2. Ndipo macho ya vipofu yatafunguliwa, (Na masikio ya viziwi yatazinduliwa) x2

  3. Ndipo na kilema atarukaruka, (Na ulimi wake bubu ndipo utakapoimba) x2

  4. Na katika nyika maji yatabubujika, (Na nchi yenye kiu itakuwa chemichemi) x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page