top of page

Kama Sio Wewe

  • Hymns
  • Nov 15, 2023
  • 1 min read

Kama sio wewe Yesu ningekua wapi mimi x2

umejawa na neema na rehema tele x2


Kama sio kifo chako ningekua wapi mimi x2

umejawa na neema na rehema tele x2


Kama sio damu yako ningekua wapi mimi x2

umejawa na neema na rehema tele x2


Zamani mimi Bwana sikua hata na jina x2

nilipo ita jina lako sasa jina ninalo x2


Zamani mimi Bwana sikua hata na afya x2

nilipoita jina lako sasa afya ninayo x2


Zamani mimi Bwana sikua hata na huduma x2

nilipoita jina lako sasa huduma ninayo x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page