Kazaliwa Bwana
- Hymsco Library

- Nov 1, 2023
- 1 min read
1. Kazaliwa Bwana wetu Yesu x4
Wachungaji wamekuja kumwona huyo motto napia kumsujudia, (na pia kumsujudia) aachungaji wamekuja kumuona huyo motto na pia kumsujudia.
2. Mamajusi nao wamefika
3. Malaika nao wmasifu
4. Tumsifu Mungu na Mwokozi

Comments