Kazi Ibarikiwe
- Benard Mukasa
- Jan 22, 2024
- 1 min read
Updated: Jan 29, 2024
Sadaka yetu tunakutolea, juhudi zetu tunaziombea (upokee upokee upokee sadaka ya wanao) x2
Ya mkate na divai mazao tuliyolima sisi
Ya fedha na ya mali kwa kuwa tumevipata kwako
Ya muda na karamu maana yote ni mali yako
Kusudi ikupambe popote wakutukuze wewe

Comments