top of page

Kelele za hangwe

Kelele za shangwe leo jamani zipalizwe, Mfalme wa mbingu na dunia kazawa x2

1. Malaika wa mbingu, wamshangilia Mwana, Mkombozi wa ulimwenu kazawa

2. Wachunga nao pia, wamshangilia Mwana, hebu tuelezeni nyimbo za nini

3. Nasi twendeni wote, tumshangilie Mwana, katika mji wa Daudi kazawa

4. Wazazi na vijana, shangilieni Mwana, Mkombpzi wa ulimwengu kazawa.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page