Kesheni
- Hymsco Library

- Nov 11, 2023
- 1 min read
Kesheni pia ombeni, Mwokozi Yesu yuaja Vaeni mjifunge tayari tumlaki (Yesu) yuaja mawinguni, Wakristu tumlaki Kesheni . . .
Upanga wako na uwe Neno la Bwana Yesu Na ngao na iwe na Mwana wa Mungu (Yesu) daima ukiwa naye hushindwi na maovu Upanga . . .
Niumbie Roho mwema Bwana wangu Nishikie mkono ewe Masiha niwe wako milele (Yesu) nikuandame Masihi nisikuache kamwe Niumbie . . .

Comments