top of page

Kesheni Kaombeni

  • Hymns
  • Nov 6, 2023
  • 1 min read

Kesha ukaombe panapo mafasi; Wakati si mwingi. Kwa vile ukeshe Mwili ni dhaifu. Adui hodari karibu atakuja, Bwana wa arusi. Kesha, Omba, Kesha, Omba, Kesha Kaombe gizani, mchana, Daima kesha. Fukuza usingizi, fukuza mashaka; Ahadi ni yako, raha ya milele Bwana alkesha kwa ajili yako; Jasho yeke ikawa matone ya dame.

Yesu umkubali awe nguvu zako; Silaha uzivae; adui karibu. Sasa nafasi iko, isipite bure; Bila kukawia masihiya kesha.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page