top of page

Kesheni Kila Wakati

Kesheni kila wakati, (Ndugu) kila wakati mpate kuoka x2

  1. Kwa maana hamjui siku, atakapokuja Bwana wenu.

  2. Jiwekeni tayari, maana saa msiyodhani ndipo ajapo Bwana.

  3. Heri yake mtumishi, ambaye Bwana wake atamkuta akikesha.

  4. Hakika atamweka, aitunze mali yake yote.

  5. Muwe macho, mioyo yenu isije ikalemewa na shuguli za maisha haya.

  6. Muwe waangalivu, na salini da-ima.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page